LISTEN TO OUR

Audio RESOURCES

Cleanliness is Next to Godliness

“… our inward qualities are far superior to our outward ones.”
Many Muslims believe Islam to be the cleanest religion. However, bodily hygiene is much easier to maintain than achieving God’s standard of a pure heart. Only people with a pure heart can see God.

Finger of God

The Finger of God “God writes his laws in rock, but he writes his heart in sand.” The thought of receiving a message written by the very finger of God might first appear perplexing or even frightening. This brief meditation invites the reader to look at his own life in comparison with God’s pointing his finger at many people throughout the history of the Bible. A serious matter!

Letter From A Far Country

A Letter From a Far Country – The Storyteller

From the Storyteller Tracts – A series of five tracts, each one with a story set in the Middle East. The stories are timeless and take the Muslim reader into a situation from every-day life that catches the attention quickly. As the stories unfold, an important truth is being introduced in a captivating way. Each story is an excellent pre-evangelistic tool.

The Debt Of Rashid Daud

The Debt of Rachid Daud – The Storyteller

From the Storyteller Tracts – A series of five tracts, each one with a story set in the Middle East. The stories are timeless and take the Muslim reader into a situation from every-day life that catches the attention quickly. As the stories unfold, an important truth is being introduced in a captivating way. Each story is an excellent pre-evangelistic tool.

Mustapha and the El-Hanouchi

Mustapha and the El-Hanouchi – The Storyteller

On the theme of A Friend in Need. “Now he could live in peace in that place where the enemy could never dare face the Prince who ruled.”

From the Storyteller Tracts – A series of five tracts, each one with a story set in the Middle East.

Swahili Audio Tracts

Usafi na Utawa

Je tunawezaje kujichafua wenyewe au tunaendelea tu kuvijaza ‘’vikopo vya majivu’’ katika Maisha yetu vilevile kama tulivyokuwa tukifanya hapo awali? ‘’Kama ilivyo kwamba tulivyo hasa ndilo jambo la muhimu kuliko yale tuliyo nayo, ndivyo pia ilivyo kwamba tabia yetu ya ndani ni bora kabisa kuliko yale yanayodhihirika nje ya mwili.’’

Je, wewe uyamjibu nini Muumba wako?

Barua Kutoka nchi ya Mbali

‘’Bila shaka hujui kwamba upo katikati ya maadui, ambao wamekunyang’anya urithi wako, ambao uliachiwa na baba yako.’’ ‘’Inawezekana kuwa hivyo; lakini bado jina langu limeandikwa katika barua.’’ Kwa hakika alimheshimu Mkombozi zaidi kuliko aliyekombolewa.’’ 

Hekima Ya Shehe

‘’Mungu anakuonyesha kwamba mara nyingi vitu vizuri vya dunia hii ni kwa ajili ya wapumbavu, na magumu yake ni kwa ajili ya wenye hekima’’ ‘’Matendo yetu yote ya haki ni sawa na kitamba kichafu’’ ‘’ Ni sawa kwetu sisi sote kuwa na hofu, kwa kuwa Matendo yetu mema yanaweza yaonekana si kitu katika Siku ile ya hukumu’’

Deni La Rashid Sultan

‘’Ni lazima ulipe deni lako, kwa sababu malipo ya deni lako la baadaye hayataweza kufunika deni lako la nyuma’’ Fedha za kulipa deni lako ninazo na ninakupa kwa furaha’’ ‘’Nia yako na maamuzi yako mazuri, toba yako na kazi nzuri, hata maombi yako na kufunga kwako, vyote hivi haviwezi kulipa dhambi zako za kale’’

Mustapha na el-Hanouchi

‘’Mustapha alisimama pale mlangoni, akifikiria jinsi alivyokuwa mtu wa bahati kwa kukutana na mtu mkarimu kiasi kile, aliyekuwa tayari kumtoa katika hali ile duni’’ ‘’Jaribu hilo lilikuwa zito sana kwa kijana mdogo Mustapha. Alikuwa amevutwa pande mbili za Maisha yenye matukio yasiyo ya kawaida na matumaini ya kuwa tajiri pia’’ Kwa hiyo aliweza kuishi kwa amani mahali ambapo adui kamwe hawezi kuthubutu kumkabili Mwana wa Mfalme aliyekuwa anatawala’’

Sarafu ya Dhahabu

‘’Sarafu hii haitoi mlio wa kweli, Rafiki yangu’’ ‘’Hakuna shaka kwamba ndani yake kuna dhahabu kidogo, lakini yote imechanganywa na vitu visivyo na thamani. Siwezi nikaikubali’’ ‘’Ulikuwa ujinga wangu mwenyewe. Adhabu yangu ni juu ya kichwa changu. Nilithamini Sarafu ambayo haikutoa mlio wa kweli’’.

Kidole Cha Mungu

Kidole cha Mungu “Mungu huandika sheria zake katika mwamba, lakini huuandika moyo wake katika mchanga.” Wazo la kupokea ujumbe ulioandikwa na kidole cha Mungu huenda kwanza likaonekana kuwa la kutatanisha au hata la kuogopesha. Tafakari hii fupi humwalika msomaji kutazama maisha yake mwenyewe kwa kulinganisha na jinsi Mungu anavyowanyoshea kidole watu wengi katika historia yote ya Biblia. Jambo zito!

Item added to cart.
0 items - KSh 0