Chakula Cha Kila Siku

KSh 50

Kwa Wafuasi Wapya wa Yesu

Umewahi kujiuliza kwanini wanafunzi wa mwanzo wa Yesu hawakuitwa Wakristo? Walijulikana kama ”wafuasi wa njia”. Hii ni kwa sababu walifuata ”Njia au mfano wa Yesu!. Hawakufuata dini yao ya jadi. Wafuasi hao waliitwa ”Wakristo” kwa mara ya kwanza kwa sababu ya mwenendo wao kuhusishwa na Kristo. Ni heshima ilioje!

Je, umewahi kujiuliza?

  • Nini kilichotendeka nilipofanyika Mkristo?
  • Kwa kuwa sasa mimi ni Mkristo, nahitaji kufanya nini? Nahitaji tu kufuata utaratibu fulani wa matendo?
  • Nani ananijali? Je, kuna pahali ninapoweza kapaita nyumbani?
  • Ninawezaje kumjua Mungu zaidi?
  • Yesu ni wa ajabu. Nawezaje kumhudumia vema zaidi?

Description

Chakula Cha Kila Siku, Kwa Wafuasi Wapya wa Yesu

Walter na Christel Eric, Kur 34