Tunyoshe Mikono

$1.91

Mambo ambayo kila Mkristo Anahitaji Kujua kuhusu Uislamu na Waislamu

Description

Tunyoshe Mikono, Mambo ambayo kila Mkristo Anahitaji Kujua kuhusu Uislamu na Waislamu

Gerhard Nehls na Walter Eric, Kur 133

Kuwafikishia Waislamu ujumbe wa Injili ya wokovu wa Kristo si kazi rahisi, kwani kwa hakika, Waislamu ni watu tofauti kabisa na sisi: Wanafikiri tofauti, wanafanya mambo yao tofauti, wanaamini tofauti, wanamaoni tofauti. Karibu mambo yao yote ni mageni kwetu.

Sasa unafursa ya kujifunza zaidi kuhusu wao. Kitabu hiki kirahisi lakini pia kilichosheheni makala zilizohaririwa vizuri na za kutosha kitakupa silaha ya ujasiri wa kuanza:

  1. Kuelewa tofauti kati ya imani ya Uislamu na ya Kikristo.
  2. Kuona jinsi Waislamu walivyofundishwa kuhusu Biblia.
  3. Kukupa ufahamu wa kukuwezesha kushuhudia Waislamu kwa njia yenye manufaa.