Kukabiliana na Changamoto Ya Uislamu

$3.82

Kitabu cha Utetezi kujibu hoja za Kiislamu dhidi ya Ukristo.

Kukabiliana na Changamoto Ya Uislamu ni kitabu kinachozungumzia hoja zote za kawaida ambazo Waislamu hutoa katika mazungumzo na Wakristo. Kila Mkristo anayeshirikisha Waislamu Injili anahitaji kuwa na uzoefu wa pingamizi (hoja) zao na pia kuwa na uwezo wa kutowa majibu ya kushawishi. Ni vigumu kupata kitabu bora zaidi kinachoeleza hatua kwa hatua, kwa kina, na kwa uwazi uwasilishaji wa imani ya Kikristo kuhusu hizi pingamizi (hoja) kuu sita za Kiislamu.

Description

Kukabiliana na Changamoto Ya Uislamu, Kitabu cha Utetezi kujibu hoja za Kiislamu dhidi ya Ukristo

John Gilchrist, kur 129