Kushiriki Injili na Waislamu

KSh 500

Kitabu Cha Uinjilisti wa Kibiblia Kwa Waislamu

Kushiriki Injili na Waislamu inakuchukua kwenye safari ya Biblia na Kufunua njia mwafaka za kuwashirikisha Waislamu Injili ukitumia mafundisho yanayopatikana katika Uislamu na Ukristo. Kitabu hiki kimejumuisha baadhi ya mafundisho ya Agano la Kale na unabii kuhusu kazi ya ukombozi ya Yesu Kristo na jinsi ya kutumia mafundisho ya Yesu katika Agano jipya kuhusu neema yake kuu ya ukombozi kwa wanadamu wote. Kitabu kiki kina maelezo maalum ya kibiblia kwa wainjilisti wote wanaowafikia Waislamu. Kinakusaidia utumie kifaa muhimu sana cha Mungu kwa ajili ya kuwafikia Waislamu na Injili na kuwaleta kwa mwokozi wa ulimwengu.

  • Jifunze mtazamo wa Kikristo na Uislamu kuhusu baadhi ya watu mashuhuri katika Biblia.
  • Gundua uwezo wa Mungu unapowahirikisha Waislamu Injili.
  • Kitabu hiki kinatoa mapendekezo mwafaka ya uinjilisti yaliyojaa neema na kweli.
  • Kumbuka kwamba chombo muhimu katika uinjilisti ni maisha yako
  • Pata himizo hasa unapowapenda Waislamu jirani zako

 

Description

Kushiriki Injili na Waislamu, Kitabu Cha Uinjilisti wa Kibiblia Kwa Waislamu

John Gilchrist, Kur 150