Maisha Ya Milele hutegemea nini?

KSh 0

Njia Kadhaa za kukusaidia wewe Mkristo kuwashuhudia Waislamu ili waokoke

Kila mtu anahitaji rafiki ambaye anaweza kuhusiana naye. Biblia inatuambia kwamba, ”Yuko rafiki wa karibu aambatanaye na mtu kuliko ndugu” (Mithali 18:24). Wakati wa ugonjwa, msiba au kukata tamaa kila mara tutamkimbilia rafiki tunayemwamini.

Hali hii ni tofauti kidogo na ile ya Muislamu. Wao hutamani kuwa na uhusiano na watu waaminifu wenye upendo na huruma. Je, umewahi kumwomba Mungu akuongoze kwa mtu ambaye anataka wewe uwe rafiki wa kumpa manufaa ya milele?

Description

Maisha Ya Milele hutegemea nini? Njia Kadhaa za kukusaidia wewe Mkristo kuwashuhudia Waislamu ili waokoke

Walter Eric, Kur 19