Njoo Nifuate

KSh 250

Kwa asili niliandika kozi hii kwa ajili ya watu wa mazingira maalumu ya kidini walioishi katika nchi yao, lakini kwa sasa kuna watumiaji wengi tu katika nchi mbalimbali zikiwemo nchi za Magharibi. Mambo ya kimtazamo bado ni muhimu, lakini viongozi wa kozi hii lazima wayapokee maswali ya majadiliano katika muktadha wao.

Hili ni toleo la Kiafrika. Toleo hili hupatikana katika tovuti ya (come-follow-

me.org), ambayo pia hutoa taarifa kuhusu tafsiri za lugha mbalimbali. Toleo tofauti kwa ajili ya watu wa Uingereza litatolewa baadaye.

Faida yo yote ipatikanayo kutokana na mauzo ya kozi hii hutumika kuendeleza mradi huu. Tafadhali nitumie maoni yako kwa uboreshaji zaidi wa matoleo yajayo.

Description