UHURU KWA WALIOFUNGWA

KSh 200

Description

Uhuru kwa Waliofungwa ni kitenda kazi cha kipekee kinacholeta uponyaji na uhuru. Kinatoa mwongozo wa jinsi ya kutumia nguvu za msalaba ili kuingia katika, ‘uhuru wa utukufu wa watoto wa Mungu’ (Rum 8:21).

Maombi na maamuzi kwenye kurasa hizi yamefanyiwa majaribio katika mabara sita. Maomi haya yamekuwa ya manufaa kubwa kuwaweka watu huru, kuvunja laana za kijamii na kuwaweka watu uhuru wawe wakakamavu na wainjilisti shupavu wa nguvu za wokovu za Kristo.